• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Fedha
      • Afya
      • Ardhi na Mali asili
      • Maji
      • Ujenzi
      • Kilimo
      • Mifugo
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango na Ufuatiliaji
    • Vitengo
      • Tehama
      • Sheria
      • Ukaguzi
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Viwanda
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Sheria ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video

Utawala na Utumishi

Idara ya Utawala na Utumishi ni nguzo kuu katika kuhakikisha uwajibikaji na utekelezaji wa shughuli mbalimbali ili kufikia dira na malengo ya Halmashauri Ya Wilaya Ya Maswa. Ikiwa ni pamoja na kuhakikisha upatikanaji wa rasilimali watu yenye weledi, uwezo na mtawanyiko sawia katika maeneo mbalimbali ya kiutawala ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Maswa. Halmashauri ya Wilaya ya Maswa ina idadi ya Tarafa 3 ambazo ni Mwagala, Nung’hu na  Sengerema. Kata 36 ambazoni Binza, Nyalikungu, Zanzui, Sukuma, Ng’wigwa, Masela, Kadoto, Nguliguli, Ipililo, Seng’wa, Senani, Buchambi, Mwamashimba, Budekwa, Mwang’honoli, Badi, Malampaka, Lalago, Dakama, Isanga, Jija, Kulimi, Shishiyu, Nyabubinza, Sola, Shanwa, Mbalagane, Bugarama, Mwabayanda, Busangi Mpindo, Mataba, Mwabaratulu, Sangamwalugesha, Mwamanenge, Busilili na vijiji 120.  Halmashauri ya Wilaya ya Maswa ina jumla ya watumishi 2609 katika idara 12 za Utawala na Utumishi, Elimu Msingi, Elimu Sekondari, Afya, Mipango Kilimo Umwagiliaji na Ushirika, Mifugo na Nyuki, Maendeleo ya Jamii, Ardhi, Fedha, Maji na Ujenzi na vitengo sita (6) ambavyo ni Kitengo cha Manunuzi, Sheria, Mkaguzi wa Ndani, Uchaguzi, Nyuki na Tehama.

Shughuli Zinazofanyika

Shughuli kuu zinazofanyika katika idara ya utawala na utumishi ni pamoja na kuajiri, kupandisha madaraja, kusimamia masuala ya kinidhamu ya watumishi , kuunda bajeti ya utumishi  (kusimamia ikama ya watumishi) , usafishaji wa  taarifa za kiutumishi, kutatua kero na malalamiko ya watumishi ikiwa ni pamoja na madai yao, kusimamia malipo na makato mbalimbali katika mishahara ya watumishi.

Mafanikio

Mafanikio yalipatikana  katika idara ya Utawala na Utumishi ni  kama vile kupunguza kero na malalamiko ya watumishi kwa kiasi kikubwa ikiwa ni zao la usimamizi wa misingi ya utawala bora katika Utumishi wa Umma katika Halmashauri ya Wilaya ya Maswa.

Changamoto

Pamoja na mafanikio vilevile Idara ya Utawala na Utumishi inakabiliana na changamoto zifuatazo ni baadhi ya watumishi kutozingatia sheria, kanuni na taratibu, kasi ya upatikanaji wa watumishi ni ndogo hususani kada ya afya na madai ya watumishi kutolipwa kwa wakati muafaka,Kukosekana kwa ofisi na nyumba za watumishi za kutosha katika vituo vya kazi.

Matarajio

Idara ya Utawala na Utumishi inatarajia kuwekeza katika kujenga mazingira rafiki ya kazi kwa watumishi ikiwa ni pamoja na kutatua kero na malalamiko yao kwa wakati,kuongeza idadi ya ofisi na makazi ya watumishi katika ngazi ya kata na vijiji.Kuongeza ufanisi na uwajibikaji wa watumishi ili kutoa huduma bora . Vile vile inalenga katika kuhakikisha mtawanyiko sahihi wa watumishi katika maeneo mbalimbali ya kiutawala ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Maswa.


Matangazo

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021 WILAYA YA MASWA December 18, 2020
  • Fomu za kujiunga na Shule za Sekondari ( Joining Instructions ) Wilayani Maswa December 15, 2020
  • Tangazo la nafasi za kazi August 03, 2020
  • Tangazo la Kazi August 26, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Ziara ya Wakuu wa Idara kukagua miradi ya maendeleo

    January 14, 2021
  • Kikao cha RAS Simiyu na Watumishi Maswa

    January 06, 2021
  • Waziri Jafo akagua ujenzi wa Viwanda Maswa

    January 03, 2021
  • Waheshimiwa Madiwani waapishwa Maswa

    December 07, 2020
  • Tazama zote

Video

Fursa za uwekezaji Mkoani Simiyu
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Taarifa ya Mapato na matumizi
  • Mfumo wa FFARS
  • Mfumo wa IMIS
  • Mfumo wa PlanRep
  • Government Web Framework
  • Mfumo wa PREM
  • Maswa DC Mail Domain
  • Hotuba ya Mh. Waziri Mkuu PLANREP/FFARS
  • Mfumo wa MVC-MIS

Viunganishi linganifu

  • Tovuti ya Mkoa wa Simiyu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Sekretariet ya Ajira
  • Ikulu
  • Baraza la Mitihani Tanzani
  • Wizara ya Elimu Tanzania
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Mwonekano wa Ramani

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Maswa

    Sanduku la Posta: 170, MASWA

    simu ya Mkononi: +255 282 750 271

    Simu: +255 282 750 271

    Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2020 Maswa District Council. All rights reserved.