• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Fedha
      • Afya
      • Ardhi na Mali asili
      • Maji
      • Ujenzi
      • Kilimo
      • Mifugo
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango na Ufuatiliaji
    • Vitengo
      • Tehama
      • Sheria
      • Ukaguzi
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Viwanda
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Sheria ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video

Benki ya CRDB Maswa yakabidhi Mapipa 40 ya kutupia taka

Posted on: June 12th, 2018

Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Maswa amekabidhi mapipa 40 ya kutupia taka kwa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa ikiwa ni lengo la kuchangia nyenzo za kuwezesha kuuweka mji wetu wa Maswa kuwa safi. 

Chini ya usimamizi wa Afisa Afya na Mazingira wa Wilaya vifaa hivyo vya kutunzia taka vimekabidhiwa kwa Wenyeviti wa Vitongoji vya Mjini hapa ili kuweka maeneo yao katika hali ya usafi. Kila raia anaagizwa kuweka mazingira katika hali ya usafi kwa kutupa au kuweka takataka eneo stahiki. 

Acha kutupa taka ovyo weka sehemu inayohusika ili kuweka mazingira yetu katika hali ya unadhifu.



Matangazo

  • Mwongozo wa Bajeti 2019/2020 February 10, 2019
  • Tangazo kwa Wananchi wenye viwanja na mashamba January 11, 2019
  • Tangazo la Kazi January 11, 2019
  • Matokeo ya Darasa la Nne mwaka 2018 January 04, 2019
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MAUWASA yaleta bei mpya ya maji

    February 14, 2019
  • NMB- Maswa yakabidhi vifaa vya Ujenzi

    December 03, 2018
  • Wakuu wa Idara watembelea eneo la Gypsam Mkalama

    November 18, 2018
  • Mbegu bora za Alizeti aina ya Hysun 33 za wasili Maswa

    November 16, 2018
  • Tazama zote

Video

Fursa za uwekezaji Mkoani Simiyu
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mission and Vision
  • Taarifa ya Mapato na matumizi
  • Mfumo wa FFARS
  • Mfumo wa IMIS
  • Mfumo wa PlanRep
  • Mfumo wa PREM
  • Hotuba ya Mh. Waziri Mkuu PLANREP/FFARS

Viunganishi linganifu

  • Tovuti ya Mkoa wa Simiyu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Sekretariet ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Maswa

    Sanduku la Posta: 170, MASWA

    simu ya Mkononi: +255 282 750 271

    Simu: +255 282 750 271

    Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

counters

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki@2018. Halmashauri ya Wilaya ya Maswa. Haki zote zimehifadhiwa