Idara ya Ujenzi ina shughulika na kazi zifuatazo:-
i.Kusanifu na kusimamia kazi za ujenzi/ukarabati wa majengo, madaraja na Barabara.
ii.Kuandaa makisio ya gharama za ujenzi/ukarabati
iii.Kuandaa Michoro
Wilaya ya Maswa ina jumla barabara zenye urefu wa km 1,043.98 kati ya hizo km 302.27 za changarawena km 741.71 za udongo.
•Barabara kuu km125.1
•Barabara za Mkoa km 204
•Barabara za Wilaya km 213.4
•Barabara za mjini km 64.88
•Barabara za vijijini km 640.6
•Madaraja 57 na makalvati 377
NB: Barabara kwa ujumla zinapitika kwa asilimia 55 mwaka mzima
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2020 Maswa District Council. All rights reserved.