• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Mrejesho |
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Fedha
      • Afya
      • Ardhi na Mali asili
      • Maji
      • Ujenzi
      • Kilimo
      • Mifugo
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango na Ufuatiliaji
    • Vitengo
      • Tehama
      • Sheria
      • Ukaguzi
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Viwanda
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Sheria ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video

Mkuu wa Mkoa afanya ziara katika kiwanda Cha pamba wilayani Maswa

Posted on: June 9th, 2022

Mkuu wa mkoa wa Simiyu Mh. David Kafulila leo Juni 9, 2022 amefanya ziara wilayani Maswa katika Kata ya Sola kwenye kiwanda Cha Sola Ginerry  kuongea  na viongozi wa Ushirika kutoka Kanda zote za Mkoa wa Simiyu ili kuona namna ya kukifufua kiwanda hicho.

Akiwa wilayani Maswa Mh. Kafulila ameambatana na Mkuu wa Wilaya ya Maswa mh. Aswege Kaminyoge, kamati ya ulinzi na usalama Wilaya ya Maswa, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa, wataalamu wa pamba Ofisi ya Mkoa, washauri wa pamba Mkoa, wajumbe wa bodi SIMCU, viongozi wa AMCOS kutoka Wilaya sita za Simiyu na wataalamu wa Ushirika kutoka Halmashauri ya Maswa.

Akizungumza na viongozi hao Mh. Kafulila amesema ushirika ni chombo muhimu sana  kinahitaji viongozi waadilifu wenye uwezo wa   kumsemea mkulima ili mkulima ajione yeye ni AMCOS na kina uwezo wa kuwasaidia wakulima wa pamba katika kuwainua na kumfanya mkulima afanye mambo makubwa zaidi ya uwezo wake, pamoja na kuwasilisha  matatizo yao.

"Ushirika ni msingi wa kuleta maendeleo na Sio tu maendeleo lakini maendeleo ambayo ni jumuishi, maendeleo ambayo yanabeba walio wengi"  amesema Mh. Kafulila.

Mh. Mkuu wa Mkoa amewaomba watumishi wa AMCOS wajiamini na kufanya kazi zao kwa weredi   kwa kuweka Mazingira mazuri ya kutoa huduma zao ili wakulima waweze kukimbilia huko,   kufanya vizuri zaidi katika mambo makubwa ikiwepo ujenzi wa maghala sehemu mbalimbali ili kufanya vitu vionekane ambavyo ni alama kwa AMCOS.

Ameongeza kuwa bodi ya pamba nchini ilitoa miongozo miwili na mmojawapo wa  muongozo huo ni Simiyu model  mfumo unashirikiana na serikali kuanzia ngazi ya Kijiji kwa kuunda kikosi kazi Cha pamba chenye lengo la kuhakikisha udhibiti na usimamizi wa uhakika kwenye sekta ya pamba  ili mkulima alejeshe Imani kwa Ushirika kuwa bado ni dhana sahihi ya kumfanya asiye na kipato aweze kupata pembejeo, soko ambalo limelatibiwa ili  aweze kupata kile anachostahili.

Kwa upande wake afisa mfawidhi maendeleo ya biashara kutoka benki ya kilimo ofisi ya Kanda Mwanza  Ndg. Marko Samson  amesema benki ya kilimo imetoa bilioni 6.5 kwa ajili ya kukarabati ginerry ya sola na kununua pamba, kuboresha uzalishaji kwa kuwapa wakulima matrekta na kuboresha uifadhi wa zao la pamba kwa kujengwa maghala ya kuhifadhia pamba.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUSHIRIKI MAFUNZO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 July 26, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI May 20, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI May 27, 2022
  • MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO May 30, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Mafunzo ya Sensa ya Watu na makazi Maswa

    August 04, 2022
  • Kamati ya Fedha Utawala na Mipango yatembelea kiwanda cha Viatu Moshi

    July 22, 2022
  • Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa aipongeza Maswa

    July 11, 2022
  • Mkuu wa Mkoa aipongeza Maswa kwa kupata hati safi

    June 27, 2022
  • Tazama zote

Video

Fursa za uwekezaji Mkoani Simiyu
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Taarifa ya Mapato na matumizi
  • Mfumo wa FFARS
  • Mfumo wa IMIS
  • Mfumo wa PlanRep
  • Government Web Framework
  • Mfumo wa PREM
  • Maswa DC Mail Domain
  • Hotuba ya Mh. Waziri Mkuu PLANREP/FFARS
  • Mfumo wa MVC-MIS

Viunganishi linganifu

  • Tovuti ya Mkoa wa Simiyu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Sekretariet ya Ajira
  • Ikulu
  • Baraza la Mitihani Tanzani
  • Wizara ya Elimu Tanzania
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Mwonekano wa Ramani

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Maswa

    Sanduku la Posta: 170, MASWA

    simu ya Mkononi: +255 282 750 271

    Simu: +255 282 750 271

    Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.