• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Mrejesho |
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Fedha
      • Afya
      • Ardhi na Mali asili
      • Maji
      • Ujenzi
      • Kilimo
      • Mifugo
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango na Ufuatiliaji
    • Vitengo
      • Tehama
      • Sheria
      • Ukaguzi
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Viwanda
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Sheria ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video

Maji

Idara ya maji ni moja kati ya Idara 13 za Halmashauri ya Wilaya ya Maswa.

Idara hii inafanya usimamizi na mipango yote ya utoaji wa huduma ya maji kwa wananchi kwa kuzingatia misingi muhimu ifuatayo.

  • Sera ya Taifa ya maji 2002.
  • Mwongozo wa WSDP II 2016
  • Dira ya Maendeleo ya Taifa 2025.
  • Malengo ya Milenia.
  • Ilani ya uchaguzi chama Tawala (CCM) 2015
  • Miongozo mbalimbali inayotolewa na serikali kwa ushirikiano na wadau wa maendeleo.
  • Mkakati wa kupunguza umaskini na kukuza uchumi (MKUKUTA).


Vyanzo vya Maji

Halmashauri ya Wilaya ya Maswa inahudumia Wananchi maji kutoka kwenye vyanzo vya maji ambavyo ni Bwawa la Zanzui, chemichemi na visima virefu & vifupi.

Hali ya mazingira ya vyanzo vya maji bado ni ya kuridhisha kwani vyanzo vyote bado vinaendelea kutoa maji japokuwa kuna changamoto ya kupungua kwa baadhi ya vyanzo kulingana na mabadiliko ya hali ya hewa na tabia ya nchi.


Shughuli za Idara

Shughuli kuu zinazofanywa na Idara ni kutoa huduma ya Ushauri wa kitaalamu juu ya matumizi ya Maji, kuunda na kusimamia jumuiya za watumiaji Maji (COWSOs katika nyanja zifuatazo:-

  • Kusanifu na kujenga Miradi ya Maji
  • Uandaaji wa Mipango, Bajeti na taarifa mbalimbali kwa kila wiki, Mwezi, Robo na Mwaka.
  • Usimamizi na kufanya tathmini ya miradi ya Maji

Matangazo

  • MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO May 30, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI May 20, 2022
  • TANZGAZO LA NAFASI YA KAZI May 26, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI May 27, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Mkuu wa Mkoa aipongeza Maswa kwa kupata hati safi

    June 27, 2022
  • Mkuu wa Mkoa afanya ziara katika kiwanda Cha pamba wilayani Maswa

    June 09, 2022
  • Madiwani wa Manispaa ya Moshi wanufaika na mafunzo Maswa

    May 26, 2022
  • Mratibu wa Sensa Wilaya atoa mafunzo kwa Kamati za sensa

    May 16, 2022
  • Tazama zote

Video

Fursa za uwekezaji Mkoani Simiyu
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Taarifa ya Mapato na matumizi
  • Mfumo wa FFARS
  • Mfumo wa IMIS
  • Mfumo wa PlanRep
  • Government Web Framework
  • Mfumo wa PREM
  • Maswa DC Mail Domain
  • Hotuba ya Mh. Waziri Mkuu PLANREP/FFARS
  • Mfumo wa MVC-MIS

Viunganishi linganifu

  • Tovuti ya Mkoa wa Simiyu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Sekretariet ya Ajira
  • Ikulu
  • Baraza la Mitihani Tanzani
  • Wizara ya Elimu Tanzania
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Mwonekano wa Ramani

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Maswa

    Sanduku la Posta: 170, MASWA

    simu ya Mkononi: +255 282 750 271

    Simu: +255 282 750 271

    Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.